Kuwezesha Vijana Kiuchumi Kupitia Kilimo-Biashara
Mikopo inayolenga kusaidia vijana kuanzisha au kukuza miradi ya mifugo ili kuongeza kipato na ajira.
Ufadhili na mikopo nafuu kwa vijana wanaojihusisha na shughuli za uvuvi endelevu na viumbe maji.